
ALAT Wapongeza vyanzo vya mapato kurejeshwa Halmashauri
Posted on: February 3rd, 2021
Na Atley Kuni, DODOMA
JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), imeipongeza Serikali kwa hatua yake ya kurejesha shughuli ya kukusanya kodi ya majengo, ushuru wa Mabango na vitambulisho...